9745 videos
 • 02:25
  Hisani ya madaktari Kapsabet
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Zaidi ya wagonjwa 450 wakiwemo watoto wamefanyiwa upasuaji wa mdomo katika hospitali ya rufaa Ya Kapsabet. Huduma hizo zilitolewa bila malipo kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nandi Citize...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:21
  Runinga ya citizen yatuzwa
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Runinga ya Citizen, inayomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services imeibuka mshindi katika orodha ya vituo bora vya habari humu nchini. Utafiti huo ulifanywa na GEO Poll unasema kuwa runinga ya Citi...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:51
  Utepetevu wa madaktari Kilifi
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Kilifi kufuatia kuongezeka kwa visa vya maradhi ya akili na msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa waziri wa afya katika kaunti hiyo DKt Anisa Omar, maafisa wa afya...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:03
  Kero ya wanyama pori Kibwezi
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Wenyeji wa Kibwezi mashariki katika kaunti ya Makueni wanaishi kwa hofu baada ya mwalimu kufariki baada ya kushambuliwa na ndovu. Maiti ya mwalimu huyo ambaye ni naibu mwalimu mkuu katika shule ya ms...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:01
  Haki yacheleweshwa Kiambu
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Baadhi ya wananchi wanaotafuta haki katika mahakama ya Kiambu wanateta kuhusu kesi zao kuchukua muda mrefu kusikizwa na kuamuliwa kutokana na uhaba wa mahakimu Citizen TV is Kenya's leading tele...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:21
  Mishahara ya wafanyikazi wa kampuni ya sukari ya Nzoia yacheleweshwa
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Zaidi ya wafanyi kazi mia tisa wa kiwanda cha kusaga sukari cha Nzoia wamelalamikia kutopata mshahara kwa miezi nne sasa. Wafanyikazi hao wakiongea hii leo katika mkutano wa dharura katika. Kiwanda hi...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:09
  Ufufuzi wa viwanda Voi
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Wizara ya viwanda kupitia idara ya biashara itajenga kiwanda cha kuboresha mazao ya wakulima katika kaunti ya Taita Taveta. kiwanda hicho kinakisiwa kuwa kitasaidia katika kuboresha mbinu za ukulima s...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:41
  Vita dhidi ya ugaidi
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Viongozi wa serikali kuu wametakiwa kukaza kamba katika juhudi za kukomesha ugaidi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi .Mwakilishi wa kike wa samburu Maison Leshoomo anasema kuwa barabara inayounganis...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 01:35
  Kijusi chapatikana barabarani Narok
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Wenyeji wa eneo la Mnazi viungani mwa mji wa Narok walitamaushwa na kupatikana kijusi kilichokuwa kimetupwa barabarani. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience r...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites
 • 00:58
  Matatu 50 zakamatwa na polisi Kakamega
  Posted by admin  .  9 hours ago
  Wahudumu wa magari wanaokiuka sheria kwenye eneo la Ilesi katika barabara ya Kakamega Kisumu wamejipata pabaya pale polisi walipofanya msako. Zaidi ya magari 50 yalinaswa kwenye zoezi hilo. Wahudumu ...
  0 views 0 likes 0 comments 0 favorites